VIDEO - “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 18 June 2017

VIDEO - “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA

Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika. 

 Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida, Mwigulu Nchemba amesema Wezi hao walitafuta kichaka cha kutaja viongozi waliostafu ili kuzia serikali iache kufatilia sakata hilo, “Viongozi wetu hawajawai kuwa maagernt wa wale wanao tuibiwa maagernt tumewabaini ni wale wanao watetea wezi.

” Tumekusogezea Video ya Habari hiyo. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages