TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI KATIKA MICHUANO YA SPORT PESA IATAKAYO ANZA JULAI 5 MWAKA HUU KWENYE UWANJA WA UHURU JIJINI DARA ES SALAAM - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 2 June 2017

TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI KATIKA MICHUANO YA SPORT PESA IATAKAYO ANZA JULAI 5 MWAKA HUU KWENYE UWANJA WA UHURU JIJINI DARA ES SALAAM

Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi  Julay 5 mwaka huu katika uwanja wa  Uhuru  maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa  kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages