TEMBO 110 WAVAMIA MASHAMBA, WAUA MWANAKIJIJI MMOJA TUNDURU - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Tagaza Hapa

Sunday, June 4, 2017

TEMBO 110 WAVAMIA MASHAMBA, WAUA MWANAKIJIJI MMOJA TUNDURU

Tembo 110 wamevamia mashamba ya wananchi na kufanya uharibifu wa mazao katika kata za Mbati,Kalulu,Namwinyu na Jakika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma na kuua mk azi mmoja wa Mbwembwele aliyejulikana kwa jina moja la Kalengo mwenye umri wa miaka 70, Taarifa zaidi hii hapa video yake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Tagaza Hapa

Pages