SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA. - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO


Saturday, June 24, 2017

SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA.

 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa Shule Secondary Banyibanyi iliyopo wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, baada ya kuwapatia vitabu vilivyotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini.
 Spikawa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya sekondari Banyibanyi, baada ya kuwakabidhi vitabu vilivyotolewa kwa msaada wa Mtandao wa kuondoa umasikini, tukio lililofanyika leo wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Binge Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akishuhudia Mwenyeti wa Mtandao wa kuondoa umasikini Ndg.Mungwe Athuman akimkabidhi kitabu Mwalimu mkuu wa  Shule ya sekondari Banyibanyi Mwl.Grace Mbise, Ktk tukio lililofanyika leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. kulia ni Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages