SHAKA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MATAWI YA VYUO NA VYUO VIKUU YOTE MKOA WA DAR ES SALAAM LEO - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 11 June 2017

SHAKA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MATAWI YA VYUO NA VYUO VIKUU YOTE MKOA WA DAR ES SALAAM LEO

Kaimu Katibu Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM  Ndg Daniel Zenda aliesimama kushoto akizungumza na Wanachama na Viongozi Makada wa CCM Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam.
Kaimu Katibu Idara ya Organaizesheni na Uhusiano wa Kimataifa UVCCM  Ndg Mohamed Suleiman akizungumza na Viongozi Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam .
 Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa mkoa wa dar es salaam wakimsikiliza  Kaimu katibu Mkuu uvccm Shaka Hamdu Shaka
 Kiongozi wa idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Chuo kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM ) ndg:Daud Ngasa akizungumzia mambo mbali mbali yahusuyo tawi lake kwa ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka leo alipo kutana naviogozi na wa nachama Mkoa wa Dar es Saaalam
Meza kuu ikisikiliza
 Kaimu katibu Mkuu uvccm Shaka Hamdu Shaka aliyesimama kulia akizungumza na Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa Mkoa wa Dar es salaam jana katika ukumbi wa Uvccm Makao Makuu Upanga Dar es salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akiagana  na Viongozi wa Uvccm Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam.

PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages