REAL MADRID BINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2017. YAICHAPA JUVENTUS YA ITALIA GOLI 4-1 BILA HURUMA - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 4 June 2017

REAL MADRID BINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2017. YAICHAPA JUVENTUS YA ITALIA GOLI 4-1 BILA HURUMA

 Mchezaji Christian Ronaldo akiwaongoza wenzake kushangilia mara baada ya kuifungia timu yake ya Real Madrid magoli mawili katika mchezo huo mkali.
 Christiano Ronaldo akishangilia na mchezaji mwenzake Sergia Ramos mara baada ya kushinda mchezo wao na Juventus ya Italia na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-1 mjini Cardiff Uingereza.
Wachezaji wa timu ya Real Madrid wakishangilia na kombe lao mara baada ya timu yao kufanikiwa kuchukua ubingwa wa  UEFA Champions League wakati walipoifunga timu ya Italia ya  Juventus usiku wa kuamkia leo Juni  baada ya kushinda magoli 4-1 katika mchezo uliochezwa  kwenye mji wa Cardiff Wales nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages