MECHI YA SIMBA SC VS NAKURU ALL STARS-LEO - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 6 June 2017

MECHI YA SIMBA SC VS NAKURU ALL STARS-LEO

 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazi Moto (kulia) akiwania mpira na Amani Kyata, wa Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba Sc, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio (kulia) akichuana na Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini  Dar es Salaam.
 Beki wa Simba, Mwambeleko Jamal (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Nandwa Sosi,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru  jijini Dar es Salaam.
 Beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji  wa Simba, Juma Luizio,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye  Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Nakuru,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Winga wa Simba, Jamal Mnyate, (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto, akijipinda kupiga shuti kuelekea langoni kwa wapinzani, Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa  Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mohamed Ibrahim wa Simba (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages