Header Ads


MANISPAA YA ILALA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na  watumishi wa Manispaa ya Ilala pamoja na wananchi wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma yalifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam, ambapo maadhimisho hayo yalienda sambamba kwakusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Watumishi wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika maadhimisho hayo.
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamiiUstawi wa jamii na Vijana Bi. Francisca Makoye  (kushoto) akimuelezea Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema huduma zinazotolewa na idara hiyo alipotembelea banda hilo wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa yalifanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimsikiliza Mwanasheria kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya ilala Bw. Micadadi Michaeli akimuelezea huduma wanazotoa kuhusina na miradhi.
Diwani wa Kata ya KivukoniHenry Massaba  (mwenye kofia) Ofisa Tawala wa Wilaya ya IlalaEdward Mpogolo wakifuatilia jambo kwenye karatasi.

Picha zote na Philemon Solomon-+255 525 666
Post a Comment
Powered by Blogger.