Habari za sasa hivi

MAKAMU WA RAIS AFUNGA KONGAMANO LA MAZINGIRA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kufunga Kongamano la Kitaifa la Mazingira lililofanyika kwenye ukumbi wa kanisa Katoliki, Mwitongo Butiama. 
 Mama Maria Nyerere akichangia maoni yake wakati wa kufunga Kongamano la Taifa la Mazingira lililofanyika Mwitongo Butiama kwenye kilele cha Siku ya Mazingira Duniani ambayo kitaifa imeadhimishwa Butiama mkoani Mara.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)