MAJALIWA ATOA ZAWADI MASHINDANO YA KUSOMA QUR-AN TUKUFU - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 11 June 2017

MAJALIWA ATOA ZAWADI MASHINDANO YA KUSOMA QUR-AN TUKUFU

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi , Mohammed Abdullah Aden (12) wa Somalia hundi ya shilingi milioni 15, 750,000/= mshindi wa kwaza wa mashindano ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi  Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017.
  Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 11 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya  Pili na Mlezi wa Taasisi ya Al- Hikima Foundation, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika  kilele cha Mashindano ya 18 ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017.


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na  Sheikh Mkuu wa Tanzania  Sheikh Abubakr Zubeir bin  Ally (kulia) na Sheikh Sharif Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al - Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo , katika  Mashindano ya 18 ya Afrika ya  Kuhifadhi Qur-an Tukufu  yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages