KATIBU MKUU ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE BUKUMBI YALIYOPO MISUNGWI MKOANI MWANZA. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 4 June 2017

KATIBU MKUU ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE BUKUMBI YALIYOPO MISUNGWI MKOANI MWANZA.

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi alipotembelea kituoni hapo hivi karibuni. 
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii)  Bi. Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi hivi karibuni. 
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga(kulia) akizungumza na watumishi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi  yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
 Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi  yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii)  Bi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati akizungumza nao wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi.Sihaba Nkinga(kushoto) akifurahi jambo na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza  Bibi. Hellena Emmanuel walipokuwa wakijadiliana jambo wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
 Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea wazee cha Bukumbi yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza.


Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages