Habari za sasa hivi

KAMPENI YA SAMSUNG MPYA YA ‘NUNUA SAJILI NA USHINDE

 Meneja Mauzo Samsung Lailatu Jethwa (kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni yao mpya ya Nunua sajili na Ushinde inayolenga kutokomeza bidhaa feki nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati  ni, Meneja wa Samsung Nchini Bw Rayton Kwembe,. 
 Meneja wa Samsung Nchini Bw Rayton Kwembe (kulia) akizungumza  na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni yao mpya ya ‘Nunua sajili na Ushinde’ inayolenga kutokomeza bidhaa feki nchini katika mkutano huo  uliofanyika jijini Dar es Salaam. 
Meneja Mauzo Samsung (Kushoto),Lailatu Jethwa akiwaonyesha  waandishi wa habari (hawapo pichani) stika mbili zinazolenga kutokomeza bidhaa feki nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam. kulia ni, Meneja wa Samsung Nchini,Rayton Kwembe.