IGP SIMON SIRO KATIKA SHEREHE ZA KUMALIZA KOZI NAMBA MOJA KWA MAOFISA UHAMIAJI CCP MOSHI LEO - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

TANGAZO


Saturday, June 24, 2017

IGP SIMON SIRO KATIKA SHEREHE ZA KUMALIZA KOZI NAMBA MOJA KWA MAOFISA UHAMIAJI CCP MOSHI LEO

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akikagua gwaride la maofisa wa uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao, sherehe zimefanyika leo chuo cha polisi moshi CCP. Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchi IGP Simon Sirro akiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Peter Makakala wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa maofisa hao. Sherehe zimefanyika leo Chuo cha Polisi Moshi (CCP). Kozi hiyo ilihusisha warakibu wasaidizi (ASP), wakaguzi wasaidizi, meja, sajenti na koplo.

TANGAZO