FILAMU FUPI YA KISOGO YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 14 June 2017

FILAMU FUPI YA KISOGO YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa.
 Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Afisa Habari wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa na kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon John.
 Afisa Habari wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa (katikati) kushoto akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto Msanii wa filamu hiyo Bw. Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba na kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon John.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia filamu fupi ya Kisogo wakati ikizinduliwa na msanii wa filamu hiyo Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba.


Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages