AFC LEOPARDS YA KENYA YAFANYA MAZOEZI YAKE KARUME LEO - Mtazamo News
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 4 June 2017

AFC LEOPARDS YA KENYA YAFANYA MAZOEZI YAKE KARUME LEO

Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya ‘SportPesa Super Cup’ 
inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni  kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na  Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa 
ni kati ya Gor Mahia Vs Jang’ombe Boys Fc. Picha kwa hisani ya Montage Ltd.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages