WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18 - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 25 May 2017

WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA BUNGENI HOTUBA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18

 Watendaji wa Wizara ya Ardhi, wakiendelea na kazi ya kujibu hoja zilizowasilishwa bungeni.
 Naibu Katibu Mkuu; Dkt. Moses Kusiluka na baadhi ya watendaji wa Wizara wakifurahia jambo nje ya bunge, baada tu ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi.
 Kaimu Kamishna wa Ardhi; Mary Makondo na watendaji wakuu wengine wa Wizara wakiteta nje ya bunge, baada tu ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi.
 Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ardhi, Ezekiel Mpanda akiwa nje ya bunge na timu yake, baada tu ya kuwasilishwa kwa hotuba ya Wizara ya Ardhi.
Waziri wa Wizara ya Ardhi; Mhe. William Lukuvi na Naibu wake; Mhe. Angeline Mabula katika picha ya pamoja na Balozi wa Denmark, nchini Tanzania; Einar H. Jensen na Mshauri wa Programu ya kuwezesha umilikishaji Ardhi (LTSP); Suleiman Dabbas na watendaji wakuu wa Wizara – bungeni, Dodoma baada tu ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2017/18.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages