WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 11 May 2017

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA

 Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa A. Zungu akifafanua jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge,   ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mary Nagu akizungumza jambo katika semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge, ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akizungumza  jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge,   ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
 Mwenyekiti wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Upendo peneza akizungumza wakati wa  semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
 Mjumbe wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Abdallah Ulega akifafanua jambo wakati wa  semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Mwenyekiti Mwenza, Mhe. Dkt. Raphael Chegeni akiongoza  semina ya pamoja ya iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Kamati ya Kudumu za Bunge, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Wageni wa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai ambao ni Wanafunzi wa Shule ya Sekondari kongwa wakitembelea maeneo Mbalimbali ya Viwanja vya Bunge leo baada ya kuhudhuria Kikao cha 22 Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages