WAZIRI WA ARDHI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAPIMA ARDHI TANZANIA. - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, May 30, 2017

WAZIRI WA ARDHI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAPIMA ARDHI TANZANIA.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, iliyofanyika jana katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
 Wanachama wa chama cha wapima ardhi Tanzania wakifwatilia semina iliyoendelea leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (katikati waliokaa) akipiga picha ya pamoja na wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, baada ya kumaliza semina iliyofanyika jana katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages