WAZIRI MWAKYEMBE ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI WA SHILLINGI BILIONI 2.1 BAINA YA TFF NA SBL KUSAIDIA TAIFA STARS - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Saturday, 13 May 2017

WAZIRI MWAKYEMBE ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI WA SHILLINGI BILIONI 2.1 BAINA YA TFF NA SBL KUSAIDIA TAIFA STARS

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea na wadau wa michezo wakati wa uwekaji saini wa msaada wa fedha wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kulia ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji  wa SBL Bibi. Helene Weesie.
 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia) akizungumza wakati wa mkutano wa kuweka saina msaada wa fedha kiasi cha Shillingi Bilioni 2.1 zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kuisadia timu ya Taifa Stars,katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji  wa SBL Bibi. Helene Weesie.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akimshuhudia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal malinzi (kulia) akiweka  saini hati ya makabidhiano ya ya  pesa Shillingi Bilion 2.1 zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa ajili ya kuisaidia timu ya Taifa Stars leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akishudia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bibi. Helen Weesie (kushoto) wakibadilishana hati baada ya kuweka saini leo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi(wa pili kushoto) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Bibi. Helen (wa kwanza kulia) Weesie wakipeana mkono baada ya kukabidhi hundi ya Shillingi Bilioni 2.1 kusaidia timu ya Taifa Stars ,wa pili kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na wa Kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw.Yussuph Singo.

Picha na Lorietha Laurence-WHUSM.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages