Habari za sasa hivi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ANUNUA HISA ZA VODACOM

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi Fomu zake za Ununuzi wa Hisa za Vodacom kwa  Dalali wa Hisa Bwana  Garase Mugisha ,5/5/2017 ,Wanao shudia katikati kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Bwana Philp Mpango na Katibu Mtendeaji wa Baraza la Uwezeshaji Bibi Beng'I Issa na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkurugenzi mkuu wa Vodacom , Shughuli hiyo imefanyika Ofini kw Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam. 
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa akiongea na Viongozi wa Serekali ,,wandishi wa Habari pamoja viongozi wa Vodacom ,Kuhusu uhamasishaji wa Ununuzi wa Hisa.