Habari za sasa hivi

WANAFUNZI 20 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI YA BASI KARATU

Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua watoto wengi .

Wanafunzi hao  ni wa shule inayoitwa Lucky Vicent ya Arusha ambao walikua wanaenda karatu kufanya mitihani ya mashindano na shule za karatu.