SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 30 May 2017

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda na kulia ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda (kushoto)akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi  
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akipiga picha ya pamoja na ugeni kutoka UDART, kulia ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda na kushoto ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi  pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi (kulia)akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda.
 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages