SIHABA NKINGA ATEMBELEA VIJANA KATIKA KIJIJI CHA WATOTO,AWATAKA KUTUMIA FURSA WALIYOIPATA - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Breaking

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222

Post Top Ad

Post Top Ad


Wednesday, 17 May 2017

SIHABA NKINGA ATEMBELEA VIJANA KATIKA KIJIJI CHA WATOTO,AWATAKA KUTUMIA FURSA WALIYOIPATA

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akiongea na vijana wanaoishi katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) ambapo aliwataka kutumia fursa waliyoipata na kuendeleza shughuli za ujasiriamali,Jana Mkoani Arusha.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa pili kutoka kulia) akiwasikiliza vijana katika kijiji kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) wakiwasilisha mada juu ya shughuli wanazozifanya.
 Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Mtoto Bi.Margaret Mussai akiongea na vijana wanaoishi katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) na kuwaeleza namna bora ya uwasilishaji wa mada, jana Mkoani Arusha.
 Mkurugenzi wa kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) Bw. Francis Msollo akiongea na vijana wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga alipowatembelea kijijini hapo.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akitembelea maeneo mbalimbali katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) na kujionea shughuli zinazofanywa na vijana katika kijiji hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na vijana alipofika katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children Villages) lililopo Ngaramtoni Mkoani Arusha.

No comments:

Post Top Ad

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222