RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN ZIARANI NCHINI DJIBOUT - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Tagaza Hapa

Saturday, May 6, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN ZIARANI NCHINI DJIBOUT

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya kiserikali.
(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu .
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kabla ya kuaza safari yake Nchini Djibout kwa ziara ya kiserikali.
(Picha na Ikulu)  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Tagaza Hapa

Pages