NAIBU SPIKA WA BUNGE AKIPATA MAELEZO YA AFISA KUTOKA TAASISI YA UHANDISI NA USANIFU MITAMBO TANZANIA (TEMDO) - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Breaking

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222

Post Top Ad

Post Top Ad


Wednesday, 17 May 2017

NAIBU SPIKA WA BUNGE AKIPATA MAELEZO YA AFISA KUTOKA TAASISI YA UHANDISI NA USANIFU MITAMBO TANZANIA (TEMDO)

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) akizungumza jambo wakati wa Maonyesho ya baadhi ya Mitambo yao, katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. wa pili kulia, ni Waziri wa Viwanda, Biashara  na Uwekezaji, Mheshimiwa Charles Mwijage.


(PICHA NA OFISI YA BUNGE)     

No comments:

Post Top Ad

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222