MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA NCHINI YAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Breaking

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222

Post Top Ad

Post Top Ad


Saturday, 13 May 2017

MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA NCHINI YAHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimeleta maafa na uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara mkoani Kagera katika eneo la Bulila Kemondo Bukoba vijijini ambapo barabara ya lami imekatika kabisa na kusababisha mawasiliano kati ya Bukoba na Muleba kuwa na shaka Wakala wa Barabara TANROADS wanatakiwa kuchukua hatua za haraka ili kurejesha miundombinu hiyo katika hali ya kawaida hapa ni picha mbalimbali zikionyesha uharibufu huo wa barabara

 (PICHA NA BUKOBA WADAUBLOG)

No comments:

Post Top Ad

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222