MTOTO HUYU AMEPOTEA KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA TAFADHARI AWASILIANE NA KITUO CHA POLISI KILICHOKARIBU - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Breaking

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222

Post Top Ad

Post Top Ad


Tuesday, 9 May 2017

MTOTO HUYU AMEPOTEA KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA TAFADHARI AWASILIANE NA KITUO CHA POLISI KILICHOKARIBU

MTOTO HUYU PICHANI  ANAITWA LINDA RAYMOND KOMBE AMEPOTEA NYUMBANI KWAO KINONDONI MKWAJUNI TAR 6/05/2017 KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA,YEYOTE  ATAKAYEMUONA AWASILIANE NA WAZAZI WAKE KWA NAMBA 0714 282527,
0654 700777.
ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA ATAKAYEFANIKISHA KUPATIKANA KWAKE

No comments:

Post Top Ad

Tangaza nasi Hapa-+255787 942 222