MSANII WA BONGO FLEVAR KINDE MAKENGEZA ANATARAJIA KUIBUKA NA VIDEO MPYA - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Wednesday, May 17, 2017

MSANII WA BONGO FLEVAR KINDE MAKENGEZA ANATARAJIA KUIBUKA NA VIDEO MPYA

Msanii wa bongo flevar Kinde Makengeza anatarajia kuibuka na video mpya ya wimbo wake unao kwenda kwa jina la kidogokidogo

Pamoja na hayo Kinde amedai kua  atafanya vizuri zaidi katika nyimbo hiyo husaa kwa upande wa video

Amesema kua Director anaemtumia amemuhidi atatoa Kazi zake vizuri kuliko Kazi zake ambazo alizo kua akizifanywa kipindi cha nyuma

Ameyasema hayo akizngumza na Z4news Media Group visiwani Unguja

Kwa upande mwengine msanii huyo amewataka wasanii wa Zanzibar kuachana majungu na chuki kwani vitu hivyo vitawapelekea kutopanada katika masoko ya kimatiafa kimziki

Post Bottom Ad


Pages