MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWAPA MAKAVU WANAOBEZA MAENDELEO YANAYOLETWA NA SERIKALI - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Tagaza Hapa

Wednesday, May 3, 2017

MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWAPA MAKAVU WANAOBEZA MAENDELEO YANAYOLETWA NA SERIKALI

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma dkt bilinithi mahenge ashangazwa na baadhi ya watu wachache ambao wanatabia ya kubeza maendeleo yanayofanywa na serikali kana kwamba kama hayana umuhimu katika jamii,kauli hii ameitoa mara baada ya uzinduzi wandege mkoa Ruvuma ambapo shirika la ndege Tanzania ATCL limeanza kutoa huduma zake toka SONGEA HADI DAR ES SALAAM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Tagaza Hapa

Pages