Habari za sasa hivi

MEYA WA JIJI LA DAR AKUTANA NA KAMANDA WA KIKOSI CHA MAJI NCHINI AUSTRALIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

MSTAHIKI Meya wa jiji la  Dar es Salaam Isaya Mwita leo ametembelewa ofisini kwake na Kamanda wa kikosi cha maji Nchini Australia Cameron Steily ambapo pamoja na mambo mengine , ametumia nafasi hiyo kumkaribisha mwenyeji wake jijini hapa.  Kamanda Cameron atakuwepo  Jijini hapa  hadi  Mei 15.
 Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily akimkabizi zawadi Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo alipomtembelea ofisini kwake leo. 
Kamanda wa kikosi cha wanamaji Nchini Australia Cameron Steily akimsisitiza jambo Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita alipomtembelea ofisini kwake leo. Meya Mwita alitumia nafasi hiyo kumkaribisha jijini hapa. 

PICHA ZOTE NA CHRISTINA MWAGALA, OFISI YA MEYA WA JIJI