Habari za sasa hivi

MATUKIO KATIKA PICHA SHEREHE ZA MEI MOSI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wafanyakazi na Wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)