KAMPUNI YA PUMA ENERGY, YAGAWA FULANA ZAKUAKISI MWANGA KWA WAENDESHA BODABODA WA MANISPAA YA KIGAMBONI - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 9 May 2017

KAMPUNI YA PUMA ENERGY, YAGAWA FULANA ZAKUAKISI MWANGA KWA WAENDESHA BODABODA WA MANISPAA YA KIGAMBONI

Ofisa Mipango wa Taaasi ya Amend Tanzania, Neema Swai akigawia fulana maalum zinazoakisi mwanga kwa waendesha bodaboda wa Manispaa ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, jana, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya Usalama barabarani ya Umoja wa Mataifa(UN-Global Road Safety Week)
 Mratibu  wa Masuala ya Usalama wa Afya, Mazingira na  Udhibiti wa Ubora kutoka Kampuni ya Puma Energy, Rehema Madoffe akimvisha Abubakar Selemani mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Ungindoni iliyopo Kigamboni Dar es Salaam moja ya fulana inayoakisi mwanga ikiwa ni sehemu ya shehena iliyotolewa kwa shule hiyo kwa  ushirikiano na Taasisi ya Amend Tanzania kusaidia kampeni ya kupunguza ajali za barabarani hususani kutetea maisha ya watoto wa shule jana  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani ya Umoja wa Mataifa(UN-Global Road Safety Week)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages