KAMISHNA WA USTAWI WA JAMII ATEMBELEA KITUO CHA KULEA WAZEE CHA KIBIRIZI KILICHOPO MKOANI KIGOMA. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 31 May 2017

KAMISHNA WA USTAWI WA JAMII ATEMBELEA KITUO CHA KULEA WAZEE CHA KIBIRIZI KILICHOPO MKOANI KIGOMA.

 Afisa Mfawidhi wa kituo cha kulea Wazee cha Kibirizi Bw. Heradius Mushi (kulia) akifafanua mambo mbalimbali yahusuo kituo hicho kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(katikati) wakati Kamishna huyo alipotembelea kituo hapo mapema wiki hii Mkoani Kigoma. 
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi(katikati) akitoa maelekezo kwa Afisa Mfawidhi wa kituo cha kulea Wazee cha Kibirizi Bw. Heradius Mushi (kulia) wakati wa ziara yake kituo hapo mapema wiki hii Mkoani Kigoma kushoto ni Mkurugenzi wa Manunuzi kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara ya Ustawi wa Jamii) Bibi Martha Chuma.
 Mkurugenzi wa Manunuzi kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara ya Ustawi wa Jamii) Bibi Martha Chuma pamoja na Afisa Mwandamizi Ustawi wa Jamii  Kigendi Maige wakimsikiliza Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi (hayupo pichani) wakati akitoa maelekezo mabalimbai kwa uongozi wa kituo cha kulea wazee cha Kibirizi Mkoani Kigoma alipotembeleaa kituoni hapo mapema wiki hii.
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akitia saini katika kitabu cha wageni mara bada ya kuwasili katika kituo cha kulea Wazee cha Kibirizi mkoani Kigoma .
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akikabidhi baadhi ya zawadi kwa uongozi wa wazee waishio katika kituo cha kulea wazee ya Kibirizi Mkoani  Kigoma alipotembelea kituoni hapo mapema wiki hii , kulia ni Mwenyekiti Bw. Said Lekegwa na kushoto ni Katibu Bibi. Veronika Ramadhani.
 Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi( wa tatu kulia) akizungumza na uongozi wa Wazee waishio katika kituo cha kulea wazee cha Kibirizi Mkoani Kigoma watendaji kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto na uongozi wa kituo hicho alipowatembelea mapema wiki hii.
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akisalimiana na Katibu wa Wazee waishio katika kituo cha Kibirizi Mkoani Kigoma Bibi. Veronika Ramadhani alipotembelea kituoni hapo mapema wiki hii. 


Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Kigoma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages