HAFLA YAKUKABIDHI VYETI YAFANA - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 5 May 2017

HAFLA YAKUKABIDHI VYETI YAFANA

 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akimkabidhi Diwani Viti maalum kata ya Ibaga Habiba Issa cheti cha mafunzo ya usimamizi wa miradi na jitihada za jamii za mbinu za kutambua fursa na vikwazo.
 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akipokea na kufurahia zawadi ya matunda asilia aina ya furu kutoka kwa  Diwani Viti maalum kata ya Ibaga Habiba Issa mara baada ya mafunzo ya usimamizi wa miradi na jitihada za jamii za mbinu za kutambua fursa na vikwazo, matunda aina ya furu yanaweza kutengenezwa juice na kuwa fursa ya ajira kwa vijana.
 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhandisi Jackson Masaka zawadi ya matunda asilia aina ya furu aliyopewa na  Diwani Viti maalum kata ya Ibaga Habiba Issa, matunda hayo yanaweza kutengenezwa juice na kuwa fursa ya ajira kwa vijana.
 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza na madiwani kabla hajawapatia vyeti vya mafunzo ya usimamizi wa miradi na jitihada za jamii za mbinu za kutambua fursa na vikwazo.
Madiwan na watendaji kutoka halmashauri ya Mkalama wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi alipokuwa akizungumza nao kabla hajawapatia madiwani vyeti vya mafunzo ya usimamizi wa miradi na jitihada za jamii za mbinu za kutambua fursa na vikwazo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages