DK.SHEIN ZIARANI DJBOUTI ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA TELECOM - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Tuesday, May 9, 2017

DK.SHEIN ZIARANI DJBOUTI ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA TELECOM

 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiuliza suala wakati alipotembelea kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh.
 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa  Waziri wa Mawasiliano na huduma za Mitandao Bw.Abdi Youssoef wakati alipotembelea  katika Ofisi ya kampuni Telecom Nchini Djibouti    akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti wakati alipotembelea  katika Ofisi ya kampuni hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh.
[Picha na Ikulu.]

Post Bottom Ad


Pages