MTAZAMO NEWS

KAIMU MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI AONGOZA SEMINA YA UKIMWI

 Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Mhe. Stanslaus Nyongo (Katikati) akiongoza semina ya ukimwi kwa Wabunge wote iliyofanyika leo katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Taifa la wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini Ndg. Deogratius Rutatwa, akizungumza wakati wa semina ya ukimwi kwa Wabunge wote iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.


(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments

Copyright MTAZAMO NEWS  | Created By Jack Moffat

  • Mtazamo News . Powered by Blogger.