Header Ads


AJALI YA BASI LA NATIONAL EXPRESS TUMULI IRAMBA SINGIDA LEO- WAWILI WAFARIKI DUNIA.

........................................................................................................................
Watu wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya National Express kutoka Kiomboi kuelekea Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka na kutumbukia kwenye korongo eneo la Tumuli.
Endelea kufuatilia taarifa zetu.

Picha zote na mpiga picha wetu.


 Wananchi wakiangalia ajali hiyo.

No comments

Powered by Blogger.